CHRIST-i-a-n

 
Wewe ni mkristo ila hatutambui,
Umesahau spiderweb ndo husell out buibui,
Inabidi u say it ndo tuget you are born again,
Zi! Haifai kuwa this way,
Let your deeds lead the way,
Matunda ya roho heavily weigh,
Coz you are fruity kama PK kiroho.
Wacha tucheki your lifestyle tuone Christ in it,
Sio kuishi stale life kama gas inert,
Wacha waone works za Christ in you,
Usijipe title kama vile Christi-a-n,
Let them name you coz unashow Christ yaani,
Vile unaishi,
Hata ukidishi,
Kama we mwandishi,
Represent Christ kwa kila njia yaani.

Christians they were named,
They chose not this name,
Acts of Apostles,
Yaani via acts pekee,
So mbona tunataka kuact christian while sinning inside,
Hypocrisy imekuwa magnified in churches than in pubs,
Truth inatest negative in the flock,
Mbona??
Mbona pastor anapanga kando, badala awe candle kwa kondoo?
Mbona bikra anafura tumbo bila pete?

Mkristo ni vitendo not just a name,
Mkristo ni kufollow kila neno kwa biblia sio kila tweep on twitter.
Mkristo ni kushine your light unashindwa kuhide,
Mkristo ni kufollow christ bila kuslide-
Back to sin.
Mkristo ni loving ur neighbor hata kaa ni hater,
Mkristo ni sharing hata kaa haitoshi mboga,
Mkristo ni kusacrifice your lunch for a hungry lad,
Mkristo ni kusuffer for Christ kama Paul and Silas.
Mkristo ni forgiveness no matter how much it hurts,
Mkristo nikuishi poa na watu despite the differences,
Mkristo ni kumpenda God with all your heart, mind & strength.

Sherry 2017

John 4:23
True worshippers worship God in truth and in spirit.

Mathew 7:16 -20
Believers are recognized by their fruit.

At the cross

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Powered by WordPress.com.

Up ↑

%d bloggers like this: